Mfanyibiashara mashuhuri wa Zimbabwe Wicknell Chivayo pamoja na mkewe Lucy Muteke, wanatarajiwa kuzikwa Alhamisi, Oktoba 8, katika makaburi ya Glen Forest, Harare baada ya kufariki katika ajali ya helikopta iliyotokea Marondera. Familia ya bwenyenye huyo imetangaza mipango ya mzishi huku ndugu, jamaa, marafiki na washirika wa karibu wakikusanyika katika makazi ya familia mjini Harare kuomboleza...
This story is only covered by news sources that have yet to be evaluated by the independent media monitoring agencies we use to assess the quality and reliability of news outlets on our platform. Learn more here.